Mgeukie Mungu

https://friendsofebonie.files.wordpress.com/2015/10/sad-girl-cry.jpg?w=1054&h=659“Kama UMEZINI na UKASHIKA MIMBA hakuna haja ya KUMUOGOPA MCHUNGAJI, ASKOFU, SIJUI KUTENGWA, KUFUKUZWA NYUMBANI, KUKATALIWA na mengine mengi WANAYOFANYA WATU kwa VIJANA WALIOOKOKA WANAPOZINI NA KUSHIKA MIMBA. Mimi kama mtumishi wa Mungu nakuhusia USITOE HIYO MIMBA, BORA UPATWE NA AIBU, UTENGWE, USEMWE NA UTUKANWE. Usikubali KUMUUA HUYO MTOTO MAANA HANA HATIA, NI MATOKEO YA MAAMUZI YAKO NA HUYO BABA YAKE. UMESHAFANYA DHAMBI YA UZINZI, USIONGEZE NA YA KUUA. Dunia itakusema, lakini MUNGU KARUHUSU UZAE, MBONA KUNA VIJANA WAPENDWA WANAZINI NA HAWASHIKI MIMBA NA WANAIMBISHA MAPAMBIO KILA JUMAPILI?? Mbona kuna wale ambao WANATUMIA CONDOM NA WENGINE WANAMEZA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA?? MUNGU ANAWAONA NA HUKUMU YAO NI KUBWA SANA… Wewe USIWAIGE… USOMAPO UJUMBE HUU, NENDA KAZAE… TUBIA UZINZI NA ACHA KUZINI, ILA USIKUBALI KUTOA HIYO MIMBA… Hata ukifukuzwa kanisani, HUJAFUKUZWA MBINGUNI… Hata ukifukuzwa nyumbani, HUJAFUKUZWA DUNIANI… MGEUKIE MUNGU, ZAA HUYO MTOTO… Nilisikia wimbo sehemu; MUNGU AKILETA MTOTO ANALETA NA SAHANI YAKE”
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: