Ukitoa Mimba,Ni Kutubu

https://i2.wp.com/bgg2wlplugins.bgg2wl.netdna-cdn.com/wp-content/uploads/2011/12/sad-black-woman.jpg“UKITOA MIMBA haikufanyi USAFISHIKE (UONEKANE MTAKATIFU); Utawadanganya wanadamu KADHAA (ambao hawakuwa wanajua kuwa umeshika mimba, wewe na aliyekupa na aliyeitoa mnajua), MUNGU, MALAIKA ZAKE, SHETANI (ALIYEKUSHAURI KUITOA) WOTE HAWA WANAJUA WEWE NI MUUAJI. Njia pekee ya KUJISAFISHA KAMA UMEWAHI KUTOA MIMBA; NI KUTUBU NA KUOKOKA NA KUACHA DUNIA NA MAMBO YAKE, JISALIMISHE KWA YESU”
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo
One comment on “Ukitoa Mimba,Ni Kutubu
  1. Emmanuel M Mariba says:

    nazidi kuamini kwamba Mungu kuna jambo ahitaji haraka sana lifanyike juu ya kizazi hiki…kwa sababu tumefungwa sana na huu ulimwengu

    Mungu akupe nguvu zaidi ili kila hatua watu wazidi kupata na kubadilika kweli kwel….barikiwa mno

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: