JE UKO DODOMA?

Map of dodoma tanzania

Kuanzia Ijumaa hadi Jumapili (18-20 Desemba), weekend hii, NINA KAMBI MAALUM YA MAFUNDISHO NA MAOMBI.
Tunakaa hostel kwa siku hizo tatu TUKIJIFUNZA MANENO YA UZIMA NA KUUTAFUTA USO WA MUNGU.
Tunafanyia CHUO CHA BIBLIA CHA TAG (CENTRAL BIBLE COLLEGE).
Gharama ya MALAZI NA CHAKULA kwa siku hizo tatu ni 35,000/= tu.
Kama uko Dodoma tafadhali usikose, Lakini pia kama una mtu umpendaye aliyeko Dodoma, mjulishe aje apate VITU ADIMU toka katika NENO LA MUNGU.
Usisahau kuwaelekeza WAGONJWA WANAOWEZEKANA NA WALIOSHINDIKANA KIBINADAMU, YESU KRISTO ATAWAPONYA.
Mawasiliano:
0655 466 675
0753 466 675
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: