Kama wewe uko DAR

Map of dar e salaam

Kwa wewe uliye Dar es Salaam na ungependa kuhudhuria semina ya Neno la Mungu, nitakayofanya jijini Dar es Salaam tarehe 26/12/2015 (Boxing day), jiandae!!!
Jumatano 24/12/2015 nitakujulisha MAHALI TUNAFANYIA.
Tunaanza saa 3:30 asubuhi hadi 8:00 mchana.
Masomo;
1. MAMBO YATAKAYOKUFANYA UYAMILKI NA KUYATAWALA MAISHA.
(WHAT IT TAKES TO REIGN AND HAVE DOMINION OVER LIFE).

2. KIWANGO CHA MAISHA ALICHONACHO MUNGU KWA AJILI YAKO.
(THE REAL DIMENSION OF LIFE GOD HAS FOR YOU).
Kama unataka kuzijua SIRI ZA UFALME WA MUNGU (Marko 4:4, Kumbukumbu 29:29), zinazotawala maisha, tarehe 26/12/2015 ni yako!
Jialike,
Waalike uwapendao,
Waalike wanaokuudhi,
Waalike adui zako.
Yesu Kristo ana cha kuwapa wote.

NB: TUMEMALIZA RETREAT YA MAOMBI NA MAFUNDISHO HUKU DODOMA MJINI.
ZILIKUWA SIKU TATU ZA MIUJIZA NA UFUNUO MKUBWA WA NENO LA MUNGU.
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: