SALAMU ZA CHRISTMASS

https://i0.wp.com/beacon.crc.net.au/NewsAndEvents/News/PublishingImages/Pages/Christmas%20Tree/christmas-tree-clip-art-with-presents.png* Nawasalimu waongo, wanafiki, waseng’enyaji, wachonganishi, watafuta sifa, wepesi wa hasira, wanaoringia vipaji na vipawa makanisani, WANAODHANI DHAMBI PEKEE YA KUMTENGA MTU KANISANI NI UZINZI AU UASHERATI HUKU WAKISAHAU NAO WANAPASWA KUTENGWA.
(Dhambi ni dhambi tu mbele za Mungu; Tuseme ukweli bila kuficha sehemu ya ukweli)!
Furahini zaidi ninyi maana MKO KANISANI ILA HAMNA BADILIKO; ILA KAMA HAO WAGENI MKIWAONDOA USIKU WA LEO, KESHO MTAADHIMISHA SIKUKUU MKIWA WATU WAPYA.

* Salamu zangu za pili nazipeleka kwa mateja, makahaba, malaya, wauaji, wadhulumaji, wafiraji, mashoga, wasagaji, wala rushwa, mafisadi, wahujumu uchumi, wakwepa kodi, wanaonyanyasa mayatima na wajane na kuchukua mirathi yao, na wote ambao SISI WA KANISANI TUNASEMAGA NINYI NI WA MOTONI.
Msikonde wala msiwaze: NINYI NDO SABABU YA MUNGU KUMTOA YESU AJE AZALIWE, AFUNDISHE NA KUFA KWA AJILI YA DHAMBI ZENU.
Hakuna haja ya kukubali kukaa hapo mlipo; YESU AMEWAFUATA WAGONJWA NA WALIOTENGWA, TUMIA LEO KUJITAFAKARI NA KURUDI KWA YESU KWA MOYO WOTE.
Kama msingekuwepo ninyi mnaoitwa NA WALOKOLE “watenda dhambi” basi YESU ASINGELIZALIWA.
Furahi, shangilieni, YESU AWAKUBALI WAKOSA!
Salamu zangu za msimu wa Christmas,

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: