HOFU YA KIFO

https://i0.wp.com/api.ning.com/files/i9e8xovjo9zMhf4yXYUCo1SigHa3kr7hsj1NP4fvZEaQdQOLpx6tsCTFEf8KZRJrHRnhqhnEi0CWVWMuBQ6Gw52zT-YGooz*/fearA.jpg“Ukiona mtu ana HOFU YA KIFO, hajui bado ALICHOUMBWA KIFANYA DUNIANI. Ukijua ulichoumbwa kufanya duniani, kinazungumza kuhusu MUDA WAKO WA MAISHA KATIKA MWILI. Kifo HAKIPO KWA WALIO NDANI YA YESU, kuna KURUDI NYUMBANI, JUU SANA TULIKOTOKA baada ya KUMALIZA KILA TULICHOITIWA. Kifo kimebaki kwa wale WASIO NA KRISTO, na wale WALIO NA KRISTO LAKINI HAWAJUI KWANINI WAKO DUNIANI, WANAISHI ISHI TU kwa vile bado PUMZI IMENG’ANG’ANIA MIILI YAO. Kifo kinakufa pale unapoelewa kuwa WALIOKO NDANI YA KRISTO HAWAFAGI (Yohana 11:25-26), bali HURUDI KWAO JUU WAMALIZAPO KAZI YAO HAPA CHINI. Acha kupoteza muda KUOGOPA AU KUTISHWA NA KIFO, habari njema ni hii; YESU ULIYE MWAMINI NDIYE ANA FUNGUO ZA MAUTI PIA; Haina nguvu juu yake wala walio ndani yake (Ufunuo 1:18, Matendo 17:28). Salamu kwa wote ambao TUMEPATA USHINDI WA UHAKIKA DHIDI YA SHERIA YA DHAMBI NA MAUTI (Warumi 8:1-2,11)”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: