Si Kila mwenye Macho

https://i2.wp.com/www.primary-intel.com/wp-content/uploads/2011/03/Man-in-suit-with-telescope-in-desert-e1439430753276.jpg“Si kila mwenye macho ANAONA, wengi wanaishia KUTAZAMA. MAONO ni matokeo ya KUONA KWA MOYO ila MITAZAMO ni matokeo ya KUTAZAMA KWA MACHO. Maisha hayaheshimu MITAZAMO (utazamacho kwa macho), maisha yanaheshimu MAONO (uonacho kwa moyo); Mitazamo ni matokeo ya KILICHOKO bali MAONO ni matokeo ya kisichokuwepo lakini kinawezekana kuwepo. Biblia inatusisitiza kuhusu KUONA kuliko KUTAZAMA (2Wakorintho 4:18). MITAZAMO inapokelewa na kuaminiwa na MILANGO MITANO YA FAHAMU bali MAONO yanapokelewa na kuaminiwa na MOYO ULIOJAA IMANI katika AHADI ZA MUNGU (Warumi 4:17-21). Watu wa MAONO ni watu bora kwenye kila eneo la maisha, wanajua kufanya kila kitu kwa usahihi kwa sababu hawaishii kwenye kile wanachojua kwa MILANGO MITANO YA FAHAMU (Isaya 11:2-5)
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: