INSPIRATION AND MOTIVATION

https://i1.wp.com/mikeschubert.com/wp-content/uploads/2012/01/Motivate-self-300x213.jpg

Unaanzaje kumleta mtu ambaye hajaokoka awa “inspaye” waliookoka?
Tusipokuwa makini kuna siku tutaletewa Ibilisi atu-motivate church!
Inspiration au motivation bila UPAKO WA ROHO MTAKATIFU NI TAKATAKA KABISA…. Haiwezi kugeuza maisha ya mtu.
Madhabahu ni SEHEMU TAKATIFU si kila MBWA NA MBWA MWITU wanaruhusiwa kupanda kutusimulia mafanikio waliyonayo kwa MAGAZETI YA UDAKU yanayoharibu MAWAZO NA TABIA ZA VIJANA WETU.
Utajiri wa namna hii ni UCHAFU.
Mmoja aliwahi kusimama CAMPUS NIGHT akasema, “NI BORA NISIENDE MBINGUNI KWA KUWASAIDIA WATU WASIWE MASIKINI” ukiangalia JUU JUU ni sentensi yenye mashiko; Ukiiangalia kwa mujibu wa MARKO 8:36-37 KAONGEA UPUMBAVU.
Na hawa ndo tunawaleta madhabahuni wawa “inspaye” na wawa motivate VIJANA WALIOOKOKA…. WAKUU WA DINI, HUU UJINGA USIJITOKEZE TENA 2016!!!!
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: