Mfungo wa Siku 30

2016-MWAKA WA KUJIONYESHA

https://i2.wp.com/www.brandcraftmedia.com/wp-content/uploads/2013/10/focus.png“Basi uwe hodari, UJIONYESHE KUWA MWANAMUME; Uyashike mausia ya Bwana, Mungu wako, uende katika njia zake, uzishike sheria zake, amri zake, na hukumu zake, na shuhuda zake… Upate KUFANIKIWA KATIKA KILA ULIFANYALO NA KILA UTAZAMAKO…Ili Bwana AFANYE IMARA AGANO LAKE ALILONENA KWA HABARI YANGU…”
(1Falme 2:2-4).
Mimi Mwalimu Dickson Cornel Kabigumila NITAJIONESHA KUWA MWANAUME 2016 KWA KUTEMBEA KATIKA NENO LA MUNGU BILA KUJIHURUMIA; MWISHO WA MWAKA NITAKUWA NIMEFANIKIWA KATIKA KILA NIFANYALO NA KILA NITAZAMAKO… Je, unataka kuungana na upako huu? Fanya kama mimi… Fanya kama Neno lilivyoelekeza kwenye andiko letu hapo juu!

Kuanzia kesho tarehe 5/01/2016 tunaanza MFUNGO WA SIKU 30. Utakuwa wa masaa 12, asubuhi mpaka jioni saa 12:00 jioni.
Nitakuwa nikiweka mambo ya kuombea; Usijitetee kwa vidonda vya tumbo au homa… Ufalme wa Mungu unatekwa na waliojikinai na kuvikataa vinavyopendwa na wengine wote!
Tukutane kesho kuanza mchakamchaka wa SIKU 30 ZA MIUJIZA zitakazozaa KUJIONYESHA 2016.
Papaa/daddy,
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: