MBWANA SAMATA

https://i2.wp.com/taarifa.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/aa2.jpg Amenifundisha yafuatayo;

1. Hata kama familia yako ni masikini, ukiwa na wazo na vipawa toka kwa Mungu na ukavitumia kwa uaminifu na bidii, UTAJITOFAUTISHA NA NDUGU ZAKO WENGINE.
Hapa namkumbuka YABEZI (1Wafalme 4:9-10).

2. Ukiona kutoka kama familia ni ngumu, badili mpango, TOKA KAMA WEWE UNAYEJIELEWA halafu ndugu zako wakiona ulichofanya walau WATAWAANDAA WATOTO WAKO KUWA KAMA WEWE.
KUWA BARUA INAYOSOMWA NA WATU WOTE (2Wakorintho 3:2).

3. Ukiwa na familia ambayo haijali na kuthamini BIDII, MIIKO YA KAZI, UAMINIFU NA UADILIFU usitumie kama kigezo cha wewe kuuza hatma yako; SHIKILIA UNACHOAMINI, halafu huyu MUNGU ASIYE NA UPENDELEO atakufanya UWAPITE WENYE VIGEZO (Mhubiri 9:11).

4. Usitumie nguvu kubwa KULITANGAZA JINA LAKO KWA MANENO, acha KAZI ZAKO ZIZUNGUMZE ZENYEWE.
Hapa nimemkumbuka Yesu.
“SADIKINI KWA SABABU YA KAZI ZENYEWE”
(Yohana 14:11).

Najivunia kuwa Mtanzania,
Akina Mbwana Samata wengi wanakuja nyuma yake.
Mwl D.C.K

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo
2 comments on “MBWANA SAMATA
  1. gracembwambo says:

    Asante kwa kunipokea.Ni kweli mwl hekima na ubarikiweufahamu wa Mungu uzidi kwko ili nasi tuinuliwe na kutiwa moyo.

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: