KITEGA UCHUMI

https://i2.wp.com/cdn.zmescience.com/wp-content/uploads/2015/08/money-7.jpg
“Ni pesa isiyoonekana iliyowekezwa ili IVUTE PESA ZOTE ZA WALIO NA PESA HALAFU HAWAJUI KUZITUMIA na wale WASIO NA NIDHAMU YA MATUMIZI… Ndio maana unakuta mtu kanywa chai nzuri nzito kwa mkewe nyumbani, halafu dakika 40 tu mbele anapita MBELE YA MGAHAWA anaiona Menu kwa nje ANAJISIKIA KWENDA KUNUNUA KITU CHAKULA ILHALI TUMBO BADO LIMEJAA. Ukimuuliza kwanini unafanya hivi? Hana hata jibu la kueleweka! Utajua KITEGA UCHUMI kimeshatega pesa ya mjinga mmoja hapo… Au unakuta Mtu kachukua posho au mshahara, nyumbani ana pair nyingine tano za viatu halafu anakutana na MTU ANAUZA VIATU anashawishika kununua pair nyingine ambayo HAKUPANGA KUNUNUA… Hapa mmoja alikuwa na pesa ambayo hajui kazi yake (mpokea posho/ mshahara), na mmoja (muuza viatu) hakuwa na hela inayoonekana lakini alikuwa na KITEGA UCHUMI… Wewe upo kundi lipi rafiki yangu? Wenye VITEGA UCHUMI au la WANAOTEGWA NA VITEGA UCHUMI?? Kazi ni kwako”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: