WATUMISHI WA MUNGU

 

https://yesunibwana.files.wordpress.com/2016/01/fb9fe-img_0331.jpg?w=944&h=629Hawapingi miujiza ila wanawapinga watenda miujiza. Unajua; UKIONA MTU ANAFANYA AMBACHO UNAJUA ULIPASWA KUWA UNAFANYA LAKINI HAUJUI NAMNA YA KUKIFANYA ANAKUCHANGANYA… Upande mmoja unajua naweza kabisa kufanya hiki lakini nakosea wapi? Na bado huelewi… Kinachofuata ni KUANZA KUWASEMA WANAOFANYA ULICHOSHINDWA… Tangu nimepata haka kasiri… Siwashangai WANAOWASEMA WATUMISHI WALIOWAZIDI… Wamechanganyikiwa… Wanajua NENO LINAWARUHUSU KUFANYA HAYO LAKINI WANASHANGAA HAWAFANYI… KInachofuata ni KUPANIC… KAZI YA MUNGU NI NZURI UKIJUA MAMBO KAMA HAYA… Sasa njia rahisi si KUWASEMA… Ni kukubali WAMEKUPITA KWENYE ENEO HILO… Halafu kwa Upendo wafuate KAA CHINI WAKUELEKEZE NAMNA YA KUANZA KUFANYA KAMA WAO…”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: