“Kila MLOKOLE MJINGA….hukataa Maarifa

” Shetani hatumii makombora na mabomu makubwa kumshambulia ili amshinde. Bali anachukua tu KIBOKO CHA UJINGA anamcharaza kisawasawa hadi BABA WA MBINGUNI ANALIA HUKU AKISEMA: WATU WANGU WANAANGAMIZWA KWA KUKOSA MAARIFA… KWA SABABU LIMEKATA MAARIFA SASA MIMI NILISAIDIEJE? NIMELIKATAA LISIWE LANGU TENA (Hosea 4:6). Mkristo MJINGA KUHUSU UCHUMI NA FEDHA tafuta SIRI KWENYE BIBLIA NA VITABU VYA WATUMISHI WA MUNGU kabla hujapigwa na VIPEPO VIDOGO KAMA UMASIKINI NA KUISHIWA… Mkristo MJINGA KUHUSU MAJUKUMU YA MME NA MKE KIBIBLIA KASOME BIBLIA YAKO NA FANYA YAKUPASAYO kabla hujapigwa na VIPEPO VIDOGO KAMA TALAKA, KULALA MZUNGU WA NNE NA HATA KULALA KILA MTU CHUMBA CHAKE… Mkristo MJINGA KUHUSU KUSUDI LA MUNGU MAISHANI MWAKO, PAMBANA KUSOMA BIBLIA NA VITABU KUHUSU KUSUDI, MAONO, MIPANGO, MIKAKATI NA VINGINE VYA WATU WA MUNGU kabla hujapigwa na VIPEPO VIDOGO KAMA KUKOSA DIRA, KULIZWA NA MAJARIBU, KUKATA TAMAA NA KUTOFANYA MAMBO MAKUBWA DUNIANI… Wakristo WAJINGA HAWASHINDANI NA SHETANI MWENYEWE wanashindana na NZI NA MBU WA SHETANI… Mkristo MJINGA NI YULE ASIYE NA MUDA NA VITABU VYA WATUMISHI WA MUNGU WALIOFANIKIWA KWENYE HUDUMA ZAO, BIASHARA, UCHUMI NA FEDHA, NDOA NA MALEZI NA MAMBO MENGINE YA MAISHA… Masikini Mkristo MJINGA utauwawa na sisimizi ilhali wewe ni tembo”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: