BINTI YANGU

https://i0.wp.com/il9.picdn.net/shutterstock/videos/13648112/thumb/1.jpg“Huu ni mwaka wa tatu tangu umeanza naye mahusiano. Na anakuambia MNACHUNGUZANA NA KUZOEANA VIZURI. Endelea kumsubiri hivyohivyo, ATAKUWA ANATAFUTA DEGREE YA UDAKTARI TIBA WA MAHUSIANO (MD in relationship), na wewe ndo darasa na examination room yake. Leo kamwambie; ACHA UJINGA ULIPASWA KUJIRIDHISHA NA MIMI KABLA YA KUNIFUATA KUNITAMKIA, BABA YANGU KANIZINDUA NATAKA KUJUA WHAT NEXT… Huku umekunja uso kama MACHINGA ALIYEKIMBIZWA NA MGAMBO WA JIJI”
Baba yako,
Mwl D.C.K

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo
2 comments on “BINTI YANGU
  1. Pastor Seni says:

    am blest dck

  2. Ruth Kilango says:

    powerful be blessed

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: