TANGAZO TANGAZO TANGAZO!

12734252_963850620317773_5512786366812038705_n

Tutakuwa na KAMBI YETU maalum ya MAOMBI NA MAFUNDISHO (Retreat) ya kwanza kabisa kwa Mwaka huu mpya, Ijumaa ya tarehe 22 April mpaka Usiku wa kuamkia Jumatatu ya 25 April.
Kuanzia leo 16/02/2016 una MIEZI MIWILI KUJIANDAA!
i) Kuomba ruhusa kwa wale ambao mmeajiriwa

ii) kwa wanandoa kuongea na mwenzi wako mapema na kukubaliana ili upate ruhusa ya kuja kwenye kambi.

iii) Utumie muda uliobaki kuomba na kutafuta pesa ya ADA NA NAULI YA KUJA NA KURUDI DODOMA.

ADA kwa siku hizo tatu, kwa ajili ya Chakula na Malazi ni shilingi 40,000/=
NAULI YA KUJA NA KURUDI NI JUU YAKO SI SEHEMU YA ADA.

Nimekuletea taarifa hii mapema ili usije kupata cha kujitetea ukiamua kutokuja Retreat.
Lakini pia ili utuombee tunapoendelea na maandalizi ya Kambi hii ya maombi na Mafundisho.

Mungu akubariki na kukufanikisha.
Naamini hautakubali kukosa hii.

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: