KIJANA WANGU

https://yesunibwana.files.wordpress.com/2016/02/665b5-0.jpg?w=605

“Kuoa kwa ajili ya KUPATA UTAMU KITANDANI au kwa vile UNAWAKA TAMAA ni sawa na KULA CHAKULA KWA SABABU YA LADHA YA PILIPILI AU KIUNGO NDANI YA CHAKULA AMBACHO KIUHALISIA SI CHAKULA CHENYEWE. Pilipili haijawahi kuwa sababu ya kula chakula, japokuwa inanogesha chakula. Pilipili itabaki kuwa KIUNGO KWENYE CHAKULA ila haitakuja kuwa CHAKULA”

 

“Ni vizuri KUTOA MAHARI MWENYEWE. Ukiwaacha wazazi wakutolee mahari, Usilalamike WAKIWA NA SAUTI KWENYE NDOA YAKO. Biblia inasema ANAYESAIDIWA ANAKUWA MTUMWA WA ANAYEMSAIDIA. Na pia HAZINA YAO (Mahari yao) ILIPO NA MIOYO YAO ITAKUWA HAPO. Jikaze upate mahari mwenyewe mwanangu”

 

“Kabla ya KUMPANDA BINTI WA MWENZIO, jikumbushe hiyo ni MBEGU UNAPANDA. Sidhani kama utafurahia na kushangilia MABINTI ZAKO WAKIFANYIWA UNAYOFANYA KWA MABINTI WA WENZIO”

 

“Najua unampenda mno mama yako. Na mna BOND YA AJABU. Ukitaka wanao wa kiume wakukumbuke MFANYIE MKEO KILE ULICHOONA BABA YAKO ANAMNYIMA MAMA YAKO”

Baba yako,
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo
3 comments on “KIJANA WANGU
  1. Gody Makundi says:

    Asante Baba kwa kuongea na mwanao!

  2. Emanuel James says:

    Be blessed Man of God

  3. Ruth Kilango says:

    be blessed huduma nzuri sana Mungu akuinue zaidi

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: