MAISHA NI MUDA

https://i1.wp.com/thyblackman.com/wp-content/uploads/2011/04/blackmanwatchingclock.jpg

Maisha ni Muda

“Usicheze na muda. Usiahirisheahirishe mambo. Tumia siku yako moja kwa hekima kubwa sana. Usipoteze muda. Siku ikipita, HAUTAIONA MILELE MAISHANI MWAKO. Kila siku ina MKATE WA SIKU (kwenye kila eneo la maisha yako: kiroho, kiuchumi, kiafya, mahusiano nakadhalika) toka Kwa BWANA. Ukikosa muujiza wako wa leo, unaweza KUREJESHEWA UKIMLINGANA BWANA lakini thamani itakuwa imepungua. Siku moja yako ni muhimu sawa na MAISHA YAKO YOTE. Kwa maana MAISHA NI SIKU MOJA NYINGI ALIZOISHI MTU CHINI YA JUA. Ili kuishi maisha makubwa na yenye IMPACT fanya mambo ya aina mbili tu;

YANAYOMGUSA MUNGU na YANAYOGUSA NA KUGEUZA MAISHA YA WATU WENGINE. Kwa kufanya hivyo utakuwa umetumia muda wako vizuri, umeishi maisha ya maana hapa duniani, umejiandaa na umilele na zaidi umeukomboa wakati. Narudia, USICHEZEE MUDA. Una SIKU KADHAA ZA KUISHI usipokuwa na HEKIMA YA KUJUA MAMBO YA KUFANYA NDANI YA MAJIRA UNAYOPITIA, NA WAKATI WA KUPITISHA KILA KUSUDI ULILOBEBA, Utaishi maisha ya chini mno na dunia haitakujua wala kutunza kumbukumbu yako baada ya maisha yako. Nakuombea Mungu akupe akili njema ya kutambua MAJIRA NA NYAKATI NA MAMBO YAKUPASAYO KUFANYA. Ukipata huu upako; DUNIA ITALAZIMIKA KUKUWEKEA MAKUMBUSHO UKIONDOKA”


Maandiko:

Mhubiri 3:1,11,14
Waefeso 5:15-16
Ayubu 14:1
1Nyakati 12:32

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: