Ukiona MWANAUME ANAMPIGA MKE WAKE

https://i2.wp.com/www.youthconnect.in/wp-content/uploads/2014/05/domesticviolence2.jpg

.. Ujue umekutana NA MPUMBAVU aliyeingia kwenye ndoa akiwa hajui MAANA, MAJUKUMU, HESHIMA, UTAKATIFU NA UTHAMANI WA NDOA… Ni LIPUMBAVU LIMOJA HIVI na LILIKURUPUKA KUOA KABLA YA KUKAA CHINI KUJIFUNZA KWENYE BIBLIA NA KWA WENGINE WALIO NDANI YA NDOA ZAO… Nadhani majitu ya hivyo YASIFUNGWE ILA YAPELEKWE REHABILITATION CENTRE AMBAYO LINAPEWA LILICHOKOSA KABLA YA KUOA NA BIBLIA NDO ITUMIKE KAMA KITABU PEKEE CHA KUREKEBISHIA TABIA… Nimeamka nawaza mikono migumu na mizito kama ya kwangu iliyozoea kushika MIC, KUTOA PEPO NA KUTUMIWA NA MUNGU KUPONYA WAGONJWA halafu hiyohiyo igeuke YA CHUMA imkung’ute  … Nadhani sio tu nitamdissapoint Mungu, lakini nitakuwa nime MISUSE UPAKO NA NEEMA iliyoko mikononi mwangu… Si bora NIMKAMATE NIMBANDIKE MIKONO HIYOHIYO YENYE UPAKO MPAKA AZIMIE AKIZINDUKA ANAKWENDA KUNIPIKIA CHAKULA HATA AMBACHO SIJAWAHI KULA KWETU… 

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: