NAMNA YA KUWA NA FURAHA

“Kubali kuwa kuna waliopewa talanta tano, mbili na waliopewa talanta moja. Ila aliye na moja akitumia muda, rasilimali, bidii, watu sahihi, hekima na maarifa sahihi anaweza kumpita wa mbili au watano kwa faida aliyozalisha. Ila ukiona wa tano au wa mbili anafanya yote hayo usijidanganye kuwa UTAMFIKIA AU KUMPITA; JIUNGE NAYE NA HISTORIA HAITAKUSAHAU KWA NAMNA YAKO. Kujaribu kupigana au kushindana na ALIYEAMINIWA KWA VINGI NI KUPOTEZA MUDA NA FURAHA YAKO YA KUFANYIA KAZI KIMOJA ULICHOPEWA TO THE MAXIMUM. Wakubali waliokuzidi. Wapende na jichanganye nao”
Mwl D.C.K

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: