HUU NI UTUMWA UNAOWATUMIKISHA WAJINGA!

Pamoja na mitaala mbalimbali ya elimu iliyopo kitu kimoja nilichojifunza ni kuwa ELIMU-haiko kutimiza haja yako bali matakwa ya yule aliyetengeneza mtaala wa elimu hiyo.
Serikali itakupa elimu inayolenga kutimiza matakwa yake (uwe mtumishi wake)
Wazungu walipotutawala walitupa elimu iliyotufanya tuwe watumishi(watumwa wao)
Nebkadneza aliamuru akina Daniel wapewe elimu ambayo itawafanya wasimame mbele ya mfalme( wawe watumishi wake) Daniel1:3-8
Pamoja na mambo mbalimbali yaliyo mazuri katika elimu tuliyoirithi kwa wazungu, jambo moja baya ambalo limeathiri fikra za wengi ni “Kuona wazungu wana akili kuliko waafrika” jambo linalotuzuia kutafuta uhalisi wa uwezo tulionao! Mbaya zaidi inaathiri hata imani ya walio wengi “mtu akiombewa na mtumishi mzungu ndo anaona amepona hata kama uhalisia unaweza usiwe hivyo”
Ajabu zaidi ni kwamba tukija kwenye mambo ya rohoni utagundua jamii nyingi tumelelewa tukisimuliwa HADITHI ZA KICHAWI,MILA NA DESTURI ZILIZOPOTOKA” kiasi cha kuona uchawi ni wa maanaaa! Kumbe lo! Shida tu
Na wengine ni wakristo lakini bado wana imani za KISHIRIKINA!
Mtu akitajirika utasikia amepata utajiri freemason” mtumishi akifanya muujiza ukatokea hapo hapo utasikia anatumia nguvu za giza ila akiomba mpaka jasho limtoke ndo wanasema mtumishi yule ana upako tena ni mtumishi wa kweli! Huu ni UJINGA WA KIROHO! Mathayo22:29
Mtu akifa “Bwana ametwaa” akiwa mgonjwa “ni mapenzi ya Mungu! Hivi ni lini tutaondokana na ujinga huu (nina hasira kama nini juu ya hili)
Kama USIPOPATA ELIMU YA KIMUNGU NA IKAKUPA MAARIFA ELIMU YA DUNIA HII ITAKUFANYA MTUMWA! Hosea4:6
Isaya48:17
Efeso3:9-21
Ewe Mkristo jikung’ute mavumbi ili uanze kuangaza
Aleni Kipangula

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo
3 comments on “HUU NI UTUMWA UNAOWATUMIKISHA WAJINGA!
  1. Rabi Malaki says:

    Mubalikiwe kwa hudumu hi

  2. Rahel says:

    Je Ufalme wa Kristo ni wa duniani?? Bwana Yesu alisema duniani mnayo dhiki, hii inamaanisha kuwa kuugua na misiba ni sehemu ya maisha tuwapo katika huu ulimwengu. Ndipo akasema ‘iweni tayari kama watu wamngojao Bwana wao ‘

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: