MAMBO YA KUFANYA UNAPOFIKIA/UNAPOKUWA KATIKATI YA CHANGAMATO NA HUJUI CHA KUFANYA..

MNENAJI:Mwalimu Dickson Cornel Kabigumila

Kuna aina za siku mbaya na zisizopendeza kwenye maisha;

πŸ’Š siku za mateso
Ayubu 30:16-17
πŸ’Š siku za tabu
Ayubu 30:27
πŸ’Š siku za msiba
Zaburi 18:18
πŸ’Š siku za dhiki
Zaburi 20:1
πŸ’Š siku za mabaya
Zaburi 27:5
πŸ’Š siku za njaa
Zaburi 37:19
πŸ’Šsiku za uovu
Efeso 6:10-12
πŸ’Šsiku za aibu na matukano
Isaya 37:3

β–Ά Ukishajua kuna siku mbaya na zisizopendeza kwenye maisha inakusaidia kujipanga ili zikija zisikuvuruge..Mithali 21:31, Zaburi 32:6.

β–Ά njia ya kupata nguvu itakayokusaidia wakati wa changamoto
πŸ‘‰πŸΌ kuwa na silaha siku ya uovu
Waefeso 6:10-18“….. vaeni silaha zote za Mungu mpate kuzipinga hila za shetani….”
✳ Chapeo ya wokovu kichwani-kuokoka na kutambua nafasi yako ndani ya Kristo
Zaburi 119:111
✳ dirii ya haki kifuani- kuhesabiwa haki bure kwa njia ya Yesu Kristo Kwanzaa neema…
2corinthians 5:21
Rumi 8:32-33
✳ upanga ambao ni neno la Mungu..kujaa neno ndani yetu inatusaidia wakati wa changamoto
✳ kusema kweli
Efeso 4:25-27
✳ Utayari wa injili miguuni- kuwa na ujasiri wa kukiri hadharani bila kuficha kuwa umeokoka
Ebrania 12:1, 4:14
✳ Ngao ya Imani
Rumi 10:17,
NOTE: ukizimia siku ya uovu nguvu ni chache…mithali 24:10
Na nguvu inapatikana kwenye neno la Mungu…Ebrania 4:12.

πŸ‘‰πŸΌUjazo wa Roho mtakatifu..kuna
*kupata roho(hapa ni baada ya kukiri sala ya toba na kuokoka) na *kujazwa roho…(kuwa na roho kila wakati….jiwekee ratiba ya kunena kwa lugha kila siku)…. isaya 44:1-3

πŸ‘‰πŸΌ kuwa mtu wa kutafuta maarifa-kwa kusoma vitabu…na kusikiliza watumishi waliofanikiwa
Mithali 24:5
1yohana 2; 19

πŸ‘‰πŸΌkuzililia (kuziomba)/kuzitaka nguvu za Mungu
Zaburi 105:4“….mtakeni Bwana na nguvu zake….
Kwa Mungu ziko nguvu nyingi sana
-nguvu za utajiri.. kumb 8:18
-nguvu za kuhubiri..matendo 1:8, Mathayo 28:16
-nguvu ya uponyaji
-nguvu ya kutenda miujiza. ..n.k

πŸ‘‰πŸΌ Kuomba
Omba wakati unapopatikana…
Zaburi 32:6
Mathayo 6:9-12, 26:40-44

FANYA YAFUATAYO UNAPOKUWA KATIKA CHANGAMOTO

🍍 Jikumbushe maandiko- ahadi za Mungu kuhusu nyakati ngumu
Zaburi 10:15, 46:1, 86; 7, 102:2, 91:14-16, 140:7, 71:3, Isaya 43:1-3, Yeremia 16:19..

🍍 Jikumbushe shuhuda alizowahi kukutendea Mungu
Ufunuo 12:11
1samweli 17:33-37

🍍 Chunga mdomo wako na maneno yako
Mithali 6:2
-tamka uzima juu ya changamoto zako
Mithali 18:20-21
Mika 7:8

🍍 Jitafutie watu sahihi wa kukubeba wakati wa tabu yako
Matendo 12:1-12
-Kama huna watu Ita malaika waje kukusaidia…..Waebrania 1:14

🍍 Jijengee mtazamo chanya…kuwa kila jambo linawezekana
Isaya 43:18
-atafanya jambo jipya
Marko 9:23
Luka 1:37
-hakuna lisilowezekana kwa Bwana
Mwazo 18:14
Yeremia 32:27

🍍 Tabiri kitu unachotaka kitokee
Unabii-tabiri
-unakusudia jambo nalo linathibitika kwako…Ayubu 22:28, Ezekiel 37:1-14
1Petro 5:6..

🍍Usisahau kuwa Mungu amekuweka juu ya kila kitu na changamoto baada ya kuokoka
Rumi 8:33-37
Efeso 2:6 , 1:19-23
1Yohana 5:4…

🍍Mungu hutaruhusu changamoto ambayo hajaweka jibu lake karibu yako/mahali ulipo….
-jibu lipo kabla ya jaribu kuwepo
-kila jaribu lina mlango wa kutokea
1Corinthians 10:13
-jiwe lililotumika kumwua Goliath lilikuwa palepale walipokuwa Sauli na wenzake kwa siku 40
-Nyimbo za kusifu na kuabudu zilikuwa ndani ya Paulo na Sila kabla hawajakamatwa.
-Imani iliyomwokoa Rahabu yule kahaba na familia yake ilikuwa ndani yake kabla wapelelezi hawajaja…
-Chupa ya mafuta ilikuwa nyumbani kwa mama mjane kabla hata ya wanawe kutaka kuchukuliwa utumwani kwa sababu ya deni la marehemu mme wake!
🍎🍎🍎🍎🍎🍎

Be blessed in Jesus name.

By Grace daughter of Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo
2 comments on “MAMBO YA KUFANYA UNAPOFIKIA/UNAPOKUWA KATIKATI YA CHANGAMATO NA HUJUI CHA KUFANYA..
  1. loy jack says:

    Amina ubarikiwe MTU wa Mungu

  2. angel says:

    Amina.kwa kweli nimefarijika na kusaidika kiroho.Mungu awabariki sana!

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: