Amka Ufanye maajabu

“Ubongo wako ni MKUBWA MNO kuamua kuishi kwa ELIMU NDOGO YA DARASANI… Hata kama ni Profesa au Una Phd HAKO KA ELIMU NI KADOGO MNO… Hakalingani na UKUBWA NA UHALISIA WA MAMBO MAKUBWA AMBAYO MUNGU AMEKUUMBA KUFANYA… Waliofeli madarasani NINYI NI BORA SANA; Mna mawazo, ndoto, mipango na picha ndani yenu ambazo ZINAWEZA KUWA UHALISI kama MTAAMUA KUZIAMINI… Tulichofundishwa darasani ni kidogo mno mno mno kulinganisha na ALICHOWEKEZA MUNGU NDANI YA VICHWA NA MIOYO YETU… Ebu tuamke na kuacha kukaa hapo pa kufungwa na ELIMU YA MKOLONI… Elimu ya Mungu (Neno la Mungu) inasema MAMBO YOTE YANAWEZEKANA KWA YEYOTE ATAKAYEAMINI KATIKA MUNGU NA KATIKA NDOTO YAKE… UNAWEZA KUFANYA CHOCHOTE AMBACHO HAKIJAWAHI KUFANYWA NA YEYOTE KWA MSAADA WA MUNGU…Amka acha kupoteza muda KILA KILICHOKO NDANI YA MOYO NA MAWAZO YAKO HUYO NDO WEWE HALISI…Amka UFANYE MAAJABU… HAKUNA WA KUAMINI NDOTO YAKO KAMA WEWE UTAAMUA KUISALITI… Nakuombea uelewe nilichosema, na ukakitendee kazi; DUNIA ITALAZIMIKA KUKUHESHIMU NA KUKUSHANGILIA SIKU MOJA”
Mwl D.C.K
Destined To Reign International Ministries (DETRIM).

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo
2 comments on “Amka Ufanye maajabu
  1. Anna Kimaro says:

    Hii ni njia nzuri sana ya kufikisha neno la Mungu kupitia mitandao, niendelee kubarikiwa katika kuitenda Kazi ya Bwana

  2. veronicamajaliwa40 says:

    Mbarikiwe sana kwa masomo haya nimependa sana

    Sent from my Samsung device

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: