Imani kwenye maombi !?

https://i0.wp.com/cqfilestorage.s3.amazonaws.com/wp-content/uploads/2016/07/21120746/child-praying-giving-thanks.jpg“Kweli maombi ni muhimu sikatai; Lakini kuweka imani kwenye maombi badala ya Mungu anayejibu maombi ni WENDAWAZIMU. Yesu alisema MWAMININI MUNGU, halafu imani hiyo kwa Mungu IKIDHIHIRISHWA MOYONI NA KWENYE MANENO PAMOJA, Milima itahama na yote tuyaombayo yatathibitika. Usiweke Imani yako kwenye maombi, Muamini Mungu kuliko maombi. Maombi yapo bila hata uwepo wa Mungu, lakini ni Mungu anayejibu anayefanya maombi yapate thamani”
(Marko 11:21-24).
Mwl D.C.K
Destined To Reign International Ministries (DETRIM).

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: