Kuishi Kusudi Lako

https://www.raanetwork.org/media/Young-black-man-reading-bible.jpg

“KUSUDI LAKO KUBWA likiwa kufanya KILA KINACHOKUJIA NDANI YAKO kinachompa Mungu utukufu na kinayapa thamani na kuyagusa maisha ya wengine, UTAKUWA UMEFANIKIWA KUISHI KUSUDI LA KUUMBWA KWAKO. Tumeumbwa KUUBURUDISHA MOYO WA MUNGU KWA KAZI NA VITU TUNAVYOFANYA DUNIANI na KUYATUMIA MAISHA YETU KUGUSA NA KUGEUZA MAISHA YA WANADAMU WENZETU. Siku ukianza kufanya haya mambo mawili kama sababu pekee zinazokufanya uishi HATA UKIFA MAISHA YAKO HAYATAISHIA SIKU YA MSIBA. Ni rahisi sana, UGUSE NA KUUBURUDISHA MOYO WA MUNGU na WEKA ALAMA CHANYA KWENYE MAISHA YA WENGINE utakuwa UMEFANIKIWA KUISHI na maisha yako yatajieleza hata usipokuwepo duniani tena”
Mwalimu Dickson Cornel Kabigumila
Destined To Reign International Ministries (DETRIM).

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: