HEKIMA ZA NDOA 6

https://scontent-arn2-1.xx.fbcdn.net/v/t1.0-9/14610918_1108894105813423_4388694171748137023_n.jpg?oh=2220f8965c6f051255155d7a4fa2a468&oe=585FB177

“Ukioa au kuolewa, kama umefuata mchakato huu: Ulimshirikisha Mungu akusaidie kumpata mwenzi wa maisha… Ukajiridhisha kwamba huyo ndo AMEKUKAMATA DUNIA NZIMA na ukajiridhisha kuwa kwako ametia nanga… Akakubali kukutambua na kukutambulisha kwa wachungaji (watumishi wa Mungu), Wazazi na ndugu… Akakutolea mahari/akakubali umtolee mahari… Akakubali kula kiapo cha ndoa takatifu na wewe MBELE YA MASHAHIDI WENGI kwa hiari yake… Mtu aliyekubali kwa hiari MCHAKATO WOTE HUU, hauhitaji kujitia pressure kwamba ANAKUPENDA NA KUKUBALI KAMA MME/MKE WA MAISHA YAKE… Huhitaji upelelezi na upaparazi kwenye simu, mitandao nakadhalika, JIAMINI, JIKUBALI, WEWE NDO UNAMMILKI… Mtunze kwenye maombi, fanya sehemu yako (majukumu yako) kama mme/mke kwa ubora na uaminifu, halafu nakuhakikishia Mungu atakuwa nanyi na mtazeeka pamoja… USIJIUE KWA PRESSURE!!!”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: