HII NI REPORT YA MWANANGU MMOJA WA KIROHO

NIMESHARE ILI UJIFUNZE MAMBO KADHAA;

https://a2ua.com/report/report-001.jpg
i) Majukumu ya baba wa kiroho

ii) Namna baba wa kiroho anayejua wajibu wake anavyoweza kukusaidia kuwa bora kila siku

iii) Ubaba wa kiroho SI CHEO BALI NI UWAJIBIKAJI MKUBWA wa kufanya watu wawe bora zaidi ya ambavyo wangekuwa bila usimamizi na ufuatiliaji wa baba.

iv) Wajibu wa baba kwa mtoto na wajibu wa mtoto katika mahusiano ya Ubaba na utoto wa kiroho.

v) Aliye na baba wa kiroho analazimika kunidhamika, na kuwa mikono salama kuliko anayejiendesha kivyake, kwa sababu anakuwa na mamlaka inayomuwakilisha Mungu inayoweza kumpata msaada physically na manually.

©Mwalimu Dickson Cornel Kabigumila’s Spiritual Family

Hello my Dady D.C.K

This is your daughter’s report of this month (13/3-13/4/2016)

According to the video of Terri in which five habits of successful people are mentioned like this:-
To spend time with God
To listen to motivation&faithful and filled speeches
Read Bible, books and spiritual website and Biography’s.
To write and review my plans and goals daily
To do physical exercise.
(To keep your body fit and intact).

👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
Hiki ndicho nimefanya kwa muda wa mwezi mmoja
👉🏼 TO SPEND TIME WITH GOD

-Nimeenda maombi ya asubuhi (morning glory prayer) saa 11-12:00 daily except siku nimeeingia job night.!

-Nimekuwa na utaratibu wa kurudia prayer point za siku 10 za mwisho wa mwezi yani
tar1-10@ first round
then 11-20@second round.

PLAN
Kuwa na maombi three times per day….daily haijalishi ntakuwa maeneo gani.

👉🏼 TO LISTEN FAITHFUL AND MOTIVATION SPEECHES

Hawa ndio watu nimewasikiliza this month
Pastor Chris Oyakhilome
-Use your mounth to create things
-prophesy to your self
– second coming of Jesus Christ. Etc.

Dr Myles Munroe
-Holy spirit the most important person in our lives
-How to avoid sinful thinking
-How to do fasting
-10 keys of personal success
-Dont chase money chase GOD
N.K
Lucy Natasha
Na wengine ila hawa mentioned ndio zaidi

👉🏼 TO READ

Bible
Nasoma daily
Nimewastudy watu wafuatao:-
Esta – alijua kusudi la kuwepo kwake na alibeba dhamana kwa ajili ya wana israel kwa yeye kukatokea ukombozi wa wayahudi.(Esta)
Mwanamke mshunami- aliijua siri iliyopo katika kuwatunza watumishi wa Mungu.(2wafalme 4)
Daniel, Meshack shedrack na abdinego
– walikataa kula chakula cha mfalme ( maisha ya anasa)
-walikattaa kusujudia sanamu ya mfalme.{ daniel 1-3}
Yusuph-mwota ndoto
-kijana mwenye maono
-alikuwa kiongozi kila alipopitia
-alijitenga na uovu. (Mwanzo 37-50).

websites
yesunibwana.org
joycemayer.org
Joelnanauka.org
Amkajitambue.blogspot.com

Vitabu

1-The power of vision
2- The principle of Growth
3-The principle for GREATNESS.
~~~By Shemeji Melayeki.

👉🏼 Write plans and goals

Hapa kitu nimekamilisha mwezi huu ni
nimenunua kiwanja kimoja
nimelima shamba la mahindi, choroko, kunde na maharage heka 2.
kununua vitambaa+mapambo na kupamba madhabahu ya kanisa letu.
kutegemeza nyumba ya mch. Kila tar 15.. kama mwanamke mshunami alivyofanya🙊🙊(mahitaji kama chakula) n.k
Plan
– kufanya wiring kanisani kwa maandalizi ya kuweka umeeme (within April).

👉🏼 Physical exercise.

Siku nikiwa home jioni naendaga uwanjani (3/4times per week)

🍒🍒🍒🍒🍒🍒
Hapo ni kwa sehemu tu niliyofanya…
Mwezi huu utakuwa bora zaidi..💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽

👉🏼Endelea kubarikiwa kwa kunionyesha njia ya kupitia ili kufikia hatma yangu.
👉🏼 Mungu akupake mafuta mabichi kila dakika.
👉🏼 Mungu azidi kujifunua kwako zaidi na zaidi…aendelee kukufunulia siri za ufalme wake.
👉🏼 Mungu akupe neema ya kuendelea kuwa BABA BORA wa familia aliyokupa.

BARAKA ZA MUNGU ZIAMBATANE NA WEWE KILA UENDAKO..

UMEBARIKIWA MNOO.

NAKUPENDA.😍😍😇

(Hii kinafanya Ubaba wa kiroho kuwa kitu kitamu mno, mnahusiana huku mhusika akijionea mabadiliko dhahiri kila siku).
Kutoka Maktaba ya Sons and Daughters Of Dad D.C.K.
14/04/2016.

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: