MAAMUZI JUU YA FEDHA INAYOPITA MIKONONI MWAKO

https://static01.nyt.com/images/2014/12/25/business/Gradsjp/Gradsjp-master675.jpg

maamuzi ya Pesa

Naweza nisiwemo miongoni mwa “wenye hela”, pamoja na hilo, hata kwa buku niliyowahi kuitafuta na kuipata kuna jambo nimejifunza: kupata mafanikio ya kifedha hakuhitaji demokrasia bali ni ishu ya ubabe, udikteta na ubishi. Kuna wakati fursa inakuja halafu moyo wako unaleta demokrasia ya ku-discuss kireeefu, unakuja kufanya conclusion na fursa yenyewe ilishaenda siku nyingi! Kuna saa mwili unaleta ubishi ukitaka kulala badala ya kwenda kazini, hapo unatumia ubabe unauburuta mradi ukafanye kazi. Kuna saa, unapata fedha halafu mahitaji yanakuja yakipiga kelele kudai yasikilizwe kidemokrasia, hapo napo unatumia udikteta kusema hitaji hili la gari la kutembelea nalichinjilia mbali ili nikanunue shamba nilime nyanya chungu. Kuna saa mambo yanagoma kwenda ulivyokusudia lakini inabidi uwe mbishi, ukomae mpaka kieleweke! Mimi nakwambia kama ukileta “udemokrasia” wa kumsikiliza na kumridhisha kila mtu (kuanzia mwili wako, moyo wako na watu wanaokuzunguka) katika mambo yako hasa ya fedha hakika utafulia. Amini usiamini suala la kufanikiwa kifedha linahitaji uwe mbishi sana, uwe mtata mno na ukomae “kinoma” #SmartMind
Albert Nyaluke Sanga

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: