Nguvu Kubwa

https://saranyasarah.files.wordpress.com/2014/10/cropped-exodus-9-161.jpg?w=605

“Ukiwa kwenye daladala au mkusanyiko wowote mkubwa, ukasema ‘MUNGU WANGU’ ni wachache watageuka kukuangalia, LAKINI ukitamka ‘YESU’ kila mmoja atageuka kukuangalia… Hii ni kwa sababu AKINA MUNGU NI WENGI, Lakini ukitaja JINA YESU, umemuongelea MUNGU ANAYETAWALA TU MIUNGU TWINGINE TWOOOTE (In Haya Swahili)… Kila goti linapigwa muda huo huo, maana KILA LIKITAJWA JINA LA YESU HATA NA MPAGANI, kuna kinachotokea kwenye ulimwengu wa roho… Wana wa Skewa walilitaja na hawakuwa na haki na vigezo kisheria, lakini bado YALE MAPEPO YALIITIKA MLE NDANI YA ALIYENAYO… UKIONGELEA JINA LA YESU, UNAONGELEA NGUVU KUBWA YA UFALME WA MUNGU… Likiwa kwenye mdomo wa mtu aliyeokoka, anaishi maisha matakatifu, amejaa Neno na amejazwa Roho Mtakatifu, LINAMFANYA AWE YESU MUDA ULE ANAPOLITAMKA, NA KILA GOTI LINAPIGWA NA KILA KITU AU HALI INASALIMU AMRI KWAKE”
(Wafilipi 2:9-11, Matendo 3:1-16, Warumi 10:13, Mithali 18:10).

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo
2 comments on “Nguvu Kubwa
 1. EZEKIEL SIMON MHONZWA says:

  Ee Mungu Baba, ninakuomba unisamehe kwa kutotumia mawasiliano kwa njia ya LAPTOP kwa Wiki mbili.Kwa kipindi hicho Nilikosa Mawasiliano yenye BARAKA nyingi kutoka kwa Watumishi wako wengi; na hasa kutoka kwa Mtumishi wako Mwenye Ufunuo na Maono makubwa MWL. DICKSON CORNEL KABIGUMILA ;ambaye kwa UPENDO na kwa Juhudi kubwa Huwapa Wanafunzi wa Yesu MAARIFA makubwa ya kulifahamu NENO LA MUNGU na WOKOFU WA KWELI ; kwa njia ya Mafundisho na Mtandao wa YESU NI BWANA.

  Naahidi kuanzia LEO nitadumisha MAWASILIANO kwa njia hii.

  Nakiri kwa Kinywa changu kuwa NITAUSOMA Ujumbe WOTE niliotumiwa; na Namshukuru MUNGU kwa Kupitia Mtumishi wake Mwl. DICKSON Kunimwagia BARAKA nyingi kwa njia ya NENO LA MUNGU

  Ninakiri na Kuamini katka Jina la YESU KRISTO.

  Amen.

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
 • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: