Hekima za ndoa 9

14484831_1112672698768897_8224641199886415488_n.jpg

Ikupa Nyonga & Mwl. Dickson

“Nilimwambia rafiki yangu mmoja, “Kwa sasa mamangu mzazi ndiye mwanamke namba moja maishani mwangu (first lady) LAKINI siku NIKIOA tu, hiyo tarehe 07 January 2017, MKE WANGU ndiye atakuwa mwanamke namba moja wa maisha yangu, mama atafuata baada yake”
Nilimwambia haya yote kwa sababu hii ndio kanuni Mungu ameiweka hapa duniani, “Mwanaume atawaacha wazazi wake na kuambatana na mke wake nao hao wawili watakuwa MWILI MMOJA”
Hii inamaanisha Mke wangu atakuwa Mimi; Thamani yake itakuwa sawa na yangu… Atakuwa sawa na nilivyo mimi… Atakuwa mwanamke namba moja kwangu na RAFIKI KIPENZI WA MAMA YANGU.
Maadamu nampenda na kumpa mke wangu heshima na hadhi yake, Hataacha kumpenda na kumheshimu MAMA BORA ALIYEMZALIA MWANAUME WA NGUVU.”
Mwl D.C.K
#HEKIMA9
#89DAYS_TO_MY_WEDDING
Ninajiambia mimi Mwalimu Dickson Cornel Kabigumila na Mpendwa wa maisha yangu Ikupa Mercy Kyomo

Picha toka tukio la jana la kutangaza uchumba wetu kanisani na kuvishana pete!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: