Matusi

https://i0.wp.com/www.dsm.go.tz/images/darcitycenter.png

“Kati ya matusi makubwa ni kumsikia MKUU WA MKOA AU MKUU WA WILAYA akisema HAJUI PA KUPATA AJIRA ZA WATU WA MKOA AU WILAYA YAKE, Ilhali mkoa au wilaya hiyo ina maelfu ya ekari za ardhi na misitu, mito, maziwa, mabwawa, chemchemi, Ana watu wenye akili timamu na wasio na ulemavu asilimia 98 ya wote alionao, Kuna Mifugo na mazingira mengi rafiki kwa Mafanikio. Unajua HUYU MPUUZI ALIJIKUTA KWENYE NAFASI YA UONGOZI ILHALI MACHO YA MOYO WAKE HAYANA KABISA NURU… KIPOFU HAWEZI KUONGOZA WATU”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Error: Twitter did not respond. Please wait a few minutes and refresh this page.

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: