Nakupenda zaidi Leo

https://scontent-mrs1-1.xx.fbcdn.net/v/t1.0-0/p240x240/14572397_1112205065482327_8009706598394355598_n.jpg?oh=763665dd8316af29905924380b299962&oe=5872EE83Ikupa Mercy Kyomo nakupenda zaidi leo kuliko nilipokutamkia siku ile ya kwanza BAADA YA SEMINA YA MWAKASEGE JANGWANI miaka 2 iliyopita!
Nitakupenda zaidi kadri muda unavyokwenda maana nina TABIA KAMA YA BABA YANGU YA KUTOKA UTUKUFU HATA UTUKUFU KWENYE KILA JAMBO!
Naisubiria kwa hamu kubwa JANUARI 07, 2017 uje kuniongezea nguvu kwenye KULITUMIKIA SHAURI LA BWANA MAISHANI MWETU…. MIAKA 70 IJAYO (Kama Yesu atakuwa hajarudi) nitaangalia nyuma na kumshukuru Mungu kunipa wewe Mwanamke ambaye ni MUUJIZA UNAOISHI katikati ya mabinti wengi wacha Mungu!
Shukurani kwa:

https://scontent-mrs1-1.xx.fbcdn.net/v/t1.0-0/p261x260/14650126_1112204972149003_9178441679300558786_n.jpg?oh=eb891042e1baa287dfa9032fa4f51fa9&oe=586E473CFrancis Langula na Neema Langula,
Wachungaji wangu Pastor Sosteness na Ancilla Langula, na Familia nzima ya Langula!
Elio Kyomo Robert Kyomo Anord Kabig Enoc Kabigy Mwombeki Fabian Jose Fabian Erick Fabian Koku Fabian Kemilembe Kabigumila Lilian Kabigumila Faith Miselya Ndaisaba Wilharda Sabimana na Mariana Haule, Familia ya Jonas Joseph Tillya na mkewe Teddy Mwita, Familia ya Mr& Mrs. Wasonga, Mr &Mrs Maembe, Sons and Daughters Of D.C.K, Women Of Grace, Men Of Destiny, Kings In Making, Marafiki wa Mwalimu, Conqueres, Ladies Of Destiny, Ladies Of Wisdom na kila mtu unayenipenda na kile ninachofanya kwa ajili ya Mungu na Ufalme wake!

 

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo, ndoa
One comment on “Nakupenda zaidi Leo
  1. imani msika says:

    inawezekana kupata mwanamke wa kuoa kupitia facebook ?

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: