UNAPOKUWA JUU

I) Ni wakati wa kuwavuta wengine walio chini waje juu pia na si kufurahi kwamba uko peke yako juu (Yohana 12:32).

ii) Ni wajibu wako kuwa mfano hai na bora na kuleta nuru kwa wengine na si ubinafsi (Mathayo 5:15).

iii) Ni wakati wa kuwa makini sana na kila jambo ufanyalo maana unaonwa na kutazamwa hata usipojitangaza au kuwaambia watu wakufuatilie (Mathayo 5:14).

iv) Usisahau kuna Mungu ALIYE JUU YA WOTE WALIO JUU anakutazama na kupima kila kazi yako (Mhubiri 5:8).

v) Usisahau ni Mungu pekee ndiye aliyekuweka hapo na utatunza nafasi hiyo kwa kukaa katika mapenzi yake (Ayubu 5:11, 1Samweli 2:6-7).

vi) Usifurahie ustawi wa matawi bali hakikisha mizizi yako iko salama; Uhai wa matawi upo kwenye uhai wa mizizi (Ayubu 18:16)

vii) Usisahau ni rahisi kurudi chini kuliko kupanda: Mafanikio yaliyotafutwa kwa miaka mingi yaweza kuyeyuka kwa siku moja ( 1Wakorintho 10:12).

viii) Usisahau wako wengi wanaotaka kukuangusha; Ikitokea wamekuangusha, usikate tamaa, kuna kuinuka tena (Ayubu 22:29, Mithali 24:16).

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: