UPINZANI UNAOINUKA DHIDI YAKO

https://i0.wp.com/ichef.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/2EF5/production/_86212021_rhodes3gettyimages-469050940.jpg

I) Pengine ni adui na Ufalme wake wanataka kuzuia MLANGO MKUBWA NA WA KUFAA ULIOFUNGULIWA (1Wakorintho 16:9).

ii) Pengine ni mpango wa Mungu KUKUEPUSHA NA MABAYA YALIYOKUSUDIWA MBELE YAKO (Hesabu 22:21-33).

iii) Pengine ni matokeo ya UJINGA KUKOSA MAARIFA (Ayubu 36:11-12, Hosea 4:6).

iv) Pengine Mungu ANAUJARIBU MOYO WAKO ili aone kama utabaki mwaminifu na muadilifu akikupa baraka na mafanikio (Kumbukumbu 8:2-3).

v) Pengine Mungu ANAKURUDI ili akujenge ulipobomoka na ulipojikwaa (Waebrania 12:6, Mithali 13:12,24).

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: