Imani Kubwa

“Mungu anataka tuwe na IMANI KUBWA kama ya madereva. Hawaoni mwisho (hatma), wanachofanya ni KUCOVER UMBALI WANAOWEZA KUONA MBELE YA KIOO CHA GARI, Halafu wakifika pale walipokua wanapaona kama MWISHO WA UPEO WA MACHO YAO, WANAONA UMBALI MWINGINE AMBAO WANAUFUATA NA KUUFUATA HATIMAYE WANAFIKA WAENDAPO. Ndivyo pia Mungu alivyodesign MAONO NA KUSUDI LAKE KWETU… UNAANZA NA UMBALI MDOGO MBELE YAKO, YALIYOFICHIKA UTAYAJUA MBELE KWA MBELE…. Endesha hadi mwisho wa upeo wako, halafu MIUJIZA ITAANZIA HAPO! Kikubwa UWE NA MUELEKEO SAHIHI (LENGO LINALOFIKIKA AU AMBALO MTU MWINGINE AMEWAHI KUFANYA AU HATA KAMA HALIJAWAHI KUFANYWA NA YEYOTE, UNALIONA KWA UWAZI MNO NDANI YAKO) halafu ANZIA HAPO ULIPO”

 

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: