Heri mlokole aliyejaa Nguvu za Mungu

“Hakuna kitu kibaya kama KUWA VIZURI KIUCHUMI (TAJIRI WA PESA) halafu UNAROGWA NA JIRANI MCHAWI ambaye hana uwezo wa kula milo mitatu kwa siku au MIZIMU YA KWENU USIPOITAMBIKIA FASTER TU UMEFILISIKA…. Hii inaonesha wewe ni mpumbavu na masikini mkubwa ambaye muda wowote umasikini unaweza kukuvaa au hata kufa kabla ya muda wako. HERI MLOKOLE MMOJA ALIYEJAA NGUVU ZA MUNGU AMBAYE KWA SASA ANASUKUMA MKOKOTENI LAKINI UHAI WAKE, AFYA NA PESA YAKE HAKUNA NGUVU YA KUZIMU INAWEZA KUVIGUSA AU KUVICHEZEA, HUYU NI TAJIRI TAYARI, NI SUALA LA MUDA TU NA MAPESA ATAKUWA NAYO….Fanya bidii kutajirika rohoni mno, halafu fanya kazi kwa bidii, uadilifu na uaminifu, muda si mrefu, DUNIA ITAJUA YESU ULIYENAYE NI WA THAMANI”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo
One comment on “Heri mlokole aliyejaa Nguvu za Mungu
  1. Geofrey Mtepa says:

    That is real great.

    2016-10-12 17:35 GMT+03:00 YesuniBwana :

    > yesunibwana posted: “https://mattveryard.files. > wordpress.com/2009/12/banfora-village-houses.jpg “Hakuna kitu kibaya kama > KUWA VIZURI KIUCHUMI (TAJIRI WA PESA) halafu UNAROGWA NA JIRANI MCHAWI > ambaye hana uwezo wa kula milo mitatu kwa siku au MIZIMU YA KWENU > USIPOITAMBIKIA FA” >

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: