Kuhusu Pesa

https://i2.wp.com/www.incompass.co.za/wp-content/uploads/Money-Market-Funds-South-Africa.jpg

“Kila mtu ANA THAMANI KAJIJENGEA KUHUSU PESA ambayo HATA KIWANGO CHA PESA ULIYONAYO kinalingana na thamani uliyonayo! Ukiichukua MILIONI MOJA ukampatia mtu mwenye thamani ya ELFU HAMSINI, huyu mtu ataingiwa na wazimu, ATAITAPANYA HIYO MILIONI halafu ikibaki ELFU HAMSINI akili yake inarudi, HACHEZEI TENA HIYO PESA!! Hata utumiaji wake unageuka, jana alitumia LAKI NZIMA lakini ikibaki ELFU HAMSINI ANAYOLINGANA NAYO THAMANI, atanunua mihogo ya shilingi elfu moja… Ni mtu huyo huyo wa jana, isipokuwa matumizi yake kwenye ELFU HAMSINI ANAYOLINGANA NAYO NI TOFAUTI NA AKIWA NA MILIONI INAYOMZIDI… Ukitaka kuwa na pesa na kutawala pesa USIONGEZE NOTI, ONGEZA THAMANI YAKO…”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: