Unaona nini?

“Anachokifanya Shetani ni kuhakikisha UNATAZAMA mambo maovu na TAARIFA MBAYA ili mwisho wa siku uwe na maisha madogo yaliyofungwa ndani ya mipaka ya kile ULICHOONA KWENYE TV, ULICHOSIKIA KWENYE RADIO NA MAISHA YA WENGI WALIOSHINDWA. Shetani hatakupa ruhusa Usome Biblia yako, Na kama Ukiisoma atajitahidi Uone Maandishi yake tu na Usione Picha ya Ukweli wake kwenye Maisha yako hapa Duniani, Maana anajua ukiona picha ya Kile Neno limesema Utakipata au Utakuwa hivyo…. IF YOU READ THE SCRIPTURE AND GET THE PICTURE YOU WILL SURELY HAVE THE FUTURE… Scripture>Picture>Future”
Kwa kadri macho yako yawezavyo kuona, Mungu atakupa (Mwanzo 14:13-14).
As far as your eyes can see, God is committed to deliver them to you (Genesis 14:13-14).

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: