KWANGU MIMI NI BORA

https://i0.wp.com/farm1.static.flickr.com/168/472200577_5629ec860d.jpg

1.Kwangu ni bora mara mia kuwa rafiki wa masikini mwenye KUKAZA JICHO KWA YESU NA AHADI ZAKE, KWA IMANI PASIPO SHAKA, BILA KUANGALIA MAZINGIRA YAKE kuliko kuwa rafiki wa tajiri mwenye kutumainia mali zake na aliyetoa jicho lake kwa Yesu na ahadi zake za kweli, aliyejaa mashaka na wasiwasi wa kesho yake na hatma yake!

2.Kwangu ni bora kuwa rafiki wa Mpagani mwenye kuzungumza maneno ya ushindi kuliko kuwa rafiki wa Mkristo aliyejaa mashaka, woga na wasiwasi wa maisha yake!

3.Kwangu ni bora mara mia kuwa na rafiki mpagani asiye na haraka ya maisha kuliko kuwa rafiki wa Mkristo aliyejaa haraka kiasi cha kufikia hatua ya kuhoji Uaminifu wa Mungu na ahadi zake!

4.Kwangu ni bora mara mia kuunganisha Imani yangu na Mtenda dhambi aliyeamua kumwamini Yesu kwamba anaweza kumponya au kumtendea kile atakacho na nikamwombea kwa mzigo na kwa uhakika kuliko Mkristo mwenye maandiko mengi na mashaka mengi!

5.Kwangu ni bora mara mia kuwa mjinga huku nikiwa NURUNI kuliko kuwa mjanja kwa muda GIZANI

6.Kwangu ni bora niishi miaka michache lakini nikiwa nimefanya kila nilichoumbwa na Mungu kufanya duniani kuliko kuishi miaka isiyo na idadi nje ya kusudi la Mungu!

7.Kwangu ni bora mara mia nisiwe mtumishi wa Mungu kuliko kuwa Mtumishi wa Mungu na mimi nikaonekana na kubeba utukufu wa Mungu badala yake!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: