Mkate wa Kila siku

https://i1.wp.com/thetwinpowers.com/images/Our%20Daily%20Bread%2005.jpgNi muhimu ujue hii: Yesu alisema, “UTUPE LEO RIZIKI YETU ” Biblia za Kiingereza inasema, “UTUPE MKATE WETU WA KILA SIKU”…Ukweli ni kwamba kila siku inapoanza, Mungu huwa anaachilia mkate wako wa siku hiyo katika maeneo yako yote; Kiroho, Uchumi, pesa, neema, furaha, amani, afya nk lakini kwa kuwa wengi wetu hamjui, Malaika wakileta cha kwako wanakukuta ukiwa haujakaa kwenye eneo la kupokelea…Wanarudi na shehena yako tena kwa baba yako wa mbinguni, wanamwambia mwanao hatukumkuta. Na siku ikiisha bila kudai hiyo haki yako KWA MAOMBI na KUIPOKEA kwa IMANI, Ndiyo imetoka hiyo…Siku ikiisha, na shehena imeoza/imechacha! Na kesho wanakuletea tena cha siku hiyo, wanakukosa na wanarudi navyo…Wengi mmekosa mikate yenu ya siku, ndio maana mnadiriki kusema, “AFADHALI YA JANA”…Hamjakutana na Mungu anayetutoa “UTUKUFU KWENDA UTUKUFU” ambaye kwake, LEO NI BORA KULIKO JANA!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: