Siri za Uchumi wa Mungu

 

https://i1.wp.com/www.traditionalmusic.co.uk/heaven-hymns/hymns-about-heaven.jpg

“Ninachojua mimi:Shetani hawezi kukusemesha kwamba Utoe sadaka! Ila anaweza kukuonesha ulivyo na mahitaji na matatizo mengi ili Usitoe kabisa AU Upunguze sadaka uliyosukumwa kutoa moyoni na Roho wa Mungu ili Upate hasara kama Anania na Safira maana anajua; Mungu anapokupa msukumo kutoa sadaka hapimi sadaka bali UTII WAKO maana utii ndio unaoamua Utafika wapi unapokuwa unatembea na Mungu. Yesu alipokubali KUTII NA KUTOA SADAKA YA UHAI WAKE ALIADHIMISHWA MNO NA KUPEWA JINA LIPITALO MAJINA YOTE… MWANAMKE MJANE ALIPOTII NA KUTOA SENTI MBILI SAWA NA MAELEKEZO YA MUNGU NDANI YAKE BILA KUJALI ATAKULA WAPI, ALIIBUKA MTOAJI BORA NA TUNASOMA HABARI ZAKE HATARI LEO… Mungu anapokupa msukumo wa kutoa hawindi sadaka yako bali utii wako… Maisha makubwa unayotaka yamefungwa kwenye Utii hasa kwenye eneo la sadaka”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: