(Tofauti) Mtumishi na Mhamasishaji

https://i2.wp.com/images.christianpost.com/full/53454/td-jakes.jpg“Tofauti ya mtumishi wa Mungu (Minister of the Gospel) na Mhamasishaji (Motivational/ Inspirational speaker) si MANENO WANAYOSEMA, Tofauti yao ni NGUVU YA KUYAFANYA YATOKEE… Mhamasishaji atakutia moyo (utapata TUMAINI), lakini Mtumishi wa Mungu kupitia Injili atakusaidia kupata TUMAINI, IMANI NA NGUVU YA KUYAFANYA ALIYOSEMA YATOKEE… HATARI tuliyonayo MAKANISA MENGI YA MJINI yana WAHAMASISHAJI wanaodhaniwa kuwa WATU WA INJILI… Ambao kazi yao ni kupiga THEORY ZA MAANDIKO KWA HEKIMA NYINGI NA USHAWISHI WA KIBINADAMU BILA NGUVU ZA MUNGU ZA KUFANYA MAMBO YATOKEE (MIUJIZA)… Hawa ndio wanao fanya bidii kupambana na WATU WA INJILI wanao tembea katika ISHARA, AJABU NA MIUJIZA YA ROHO MTAKATIFU… INJILI BILA NGUVU YA MUNGU NI THEOLOJIA NA HISTORIA… Turudi walipokuwa akina Petro, Filipo, Stephano na Paulo…”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: