Wewe Mwenyewe

https://i1.wp.com/1888.org/images/2012/10/30/9281/thinking-african-man.png“Ukiondoa Mungu, hakuna mtu mwingine au nguvu nyingine inayeweza KUKUZUIA KUFANIKIWA tofauti na WEWE MWENYEWE! Hata Shetani na nguvu zake hawana mamlaka ya kufanya lolote kwako mpaka UWAPE NAFASI. Ndiyo maana maandiko yanatuambia, SHETANI ASIJEPATA KUTUSHINDA KWA MAANA HATUKOSI KUZIJUA HILA ZAKE…. Na pia yanasema, WALA MSIMPE IBILISI NAFASI… Hata aliyezuiwa na Shetani, Mapepo, Uchawi ni kwa sababu ALIWAPA RUHUSA WAMFANYE WANACHOJISIKIA KUMFANYA… Mfano UKIKATAA KUOKOKA HUNA SABABU YA KUSEMA SHETANI ANAKUTESA, MAANA UNAJITESA KWA UJINGA WAKO WA KUTOKUOKA NA KUJISALIMISHA KWA YESU ALIYE KIBOKO YA SHETANI… Na mimi nasema, SHETANI AKUCHARAZE MPAKA UTAKAPOPATA AKILI NA KUOKOKA…”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo
One comment on “Wewe Mwenyewe
  1. Asant rowland says:

    Injil kamil…

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: