USIOE KWA SABABU :2

 

“Wenzhttps://i0.wp.com/atlantablackstar.com/wp-content/uploads/2012/08/Young-Couple-Posed.jpgako wote uliokua nao au kusoma nao wanaoa. Ndoa si ALISEREMA ARIJA AU MWENGE TUNAUKIMBIZA. Ndoa ni taasisi ambayo Mungu amemuwekea kila mmoja wetu ALARM ya kujua lini aingie huko na inahitaji HEKIMA ITOKAYO JUU kujua ni yupi ambaye atasababisha useme, BINTI ZA WATU WAMEFANYA MEMA LAKINI WEWE UMEWAZIDI WOTE. Sasa wewe oa kwa sababu una wanaoweza kukupa michango ya TUKIO LA SIKU MOJA (harusi), usahau kuwa KUANZIA HAPO MPAKA KIFO KINAWATENGA UTAKUWA PEKE YAKO… Ndoa si upele kila mtu ajikune. KABLA YA KUANZA UJENZI WA MNARA KAA CHINI HESABU GHARAMA KAMA UTAUMALIZA ILI USIJEKWAMA NA KUWAFANYA WATU WAKUDHIHAKI… Kurupuka uone utakavyokukuruka…”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in ndoa

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Error: Twitter did not respond. Please wait a few minutes and refresh this page.

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: