Hii si ya kukosa!

https://scontent.xx.fbcdn.net/v/t1.0-9/14729353_1166342973431251_7599154362461279353_n.jpg?oh=d71f9e819f9481eef997338342ec06ad&oe=589A1996Haya tena James Kalekwa, Mwalimu Dickson Cornel Kabigumila, Yosiah Nehemia, Emmanuel Makwaya Godfrey, Brother Geofrey Kingu wote hawa watakuwepo kwenye SHARPENERS YOUTH CAMP itakayofanyika kuanzia tar 15/12 mpaka 18/12 pale SCRIPTURE UNION-IMBASENI, MAJI YA CHAI-ARUSHA. Bila kusahau Interview kabambe ya Mahusiano na Ndoa toka kwa Mentor wangu Philemon N Mgonja na Mkewe.
Vijana wa Vyuoni, Mashuleni, Makanisani, Makazini na Mitaani Hii si Kambi ya kukosa Kabisaaa.
Nina uhakika na ninachokisisitiza, tunapokea Wahudhuriaji watakaolala na watakaokuwa wanakuja na kurudi kwa nusu gharama tajwa hapo.
HEBU TUWASILIANE, USIKOSE HII KABISAAA!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: