Kufanikiwa kwa Mpumbavu

https://granta.com/wp-content/uploads/2006/01/How-to-Write-about-Africa--1280x670.jpg

“Ukimsaidia MTU MUOVU kufanikiwa UMEMCHIMBIA KABURI… Kama alikuwa anazoa Malaya wa shilingi elfu kumi barabarani, Akipata milioni ATATEMBEA NA KILA MWANAMKE ALIYEKUWA ANASHINDWA KUMMUDU KWA SABABU YA UMASIKINI… Kama alikuwa ANAKUNYWA MNAZI akitajirika na kufanikiwa dhambini ATAKUWA NA KAUNTA NYUMBANI KWAKE… Ukitaka kumsaidia Mwanadamu kwa asilimia mia moja, ANZA NA WOKOVU WA ROHO YAKE, MKUTANISHE NA YESU KWANZA… Usipofanya hivyo, UMEMUUA…KUFANIKIWA KWA MPUMBAVU KUTAMUANGAMIZA”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo
2 comments on “Kufanikiwa kwa Mpumbavu
  1. HARRY WARREN JOSEPH says:

    kweri watumishi wa MUNGU hatari hii hipo sana hata huku south Africa maana husipo toa mzizi m’baya ndani hukapanda mbengu nzuri hujuwe kitaota chema na mzizi mbaya utakuwa humejificha ndani kumbuka mzizi huwo hachoki hutachipua na mabaya , na handiko kuhusu ROHO MTAKATIFU linasema ROHO wa MUNGU afanyi kazi na wahovu ndio maana kiwango cha UTAKATIFU kianondoka kwa watoto wa MUNGU hila kila kitu kinawezekana ukiwa MKWERI KWA ROHO MTAKATIFU, ila ukiwa na kiu ya DHAMBI UTASHIBA MAUTI,mpinge shetani kwa maana ana lolote ananguvu za uwongo tu, mkubali MKWERI YESU pekee yake hapa hayupo duniani hila linatumika ni jina lake tu nakukumbusha kwa hilo maana watakuja wanajihita mayesu tumazaliwa nao hapa duniani, yeye mwenye anasema atakuja kutoka mbinguni hatamaliza maficho mabaya haya yote habayo yanaota kila siku za sura ya dunia HASANTE WATUMISHI WA MUNGU nakukumbusha tena husimwache YESU USIZIME TAA YAKE HIYACHE TAA YAKE HIWAKE NDANI MWAKO HILI GIZA LIONDOKE AMINA

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Error: Twitter did not respond. Please wait a few minutes and refresh this page.

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: