Kuthubutu ni bora kuliko

https://i0.wp.com/farm7.static.flickr.com/6147/5940213280_33b86a0c2b.jpg“Yeyote ALIYETHUBUTU kufanya kitu na akashindwa ANA AKILI SANA kuliko Mpumbavu mmoja aliye na kanuni na mbinu za kufanya kitu hicho hicho lakini ANAOGOPA KUCHUKUA HATUA… Aliyethubutu na akashindwa tayari AMEGUNDUA NJIA MOJA ISIYO SAHIHI YA KUFANYA KITU ALICHOSHINDWA, akirudi mara ya pili atakuwa bora na makini kuliko mwanzo… WATU WOTE WASIOCHUKUA HATUA WAMESHASHINDWA MAISHA hata kama jamii inawasifia kwamba HAWAJAWAHI KUKOSEA AU KUPATA HASARA… Ubora wao ni batili, Siku wakifanya ndipo ubora wao halisi utafunuliwa… TOKA NJE, THUBUTU, CHUKUA HATUA, KUSHINDWA SI KUSHINDWA BALI NI DARASA LA MAKOSA AMBAYO UTAYAEPUKA UTAKAPOFANYA TENA…”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: