Nukuu za Leo

“Kwenye maisha haya ni aidha unaacha alama ama unaacha lawama, uamuzi ni wako”

 

“Hatuwezi kuwa na kiwango sawa cha maisha hata kama tungepewa karama, vipawa na talanta sawa kwa sababu hatuwezi kuwa na maamuzi sawa”

 

“Hekima ya mtu haipimwi na maneno mazuri anayoongea bali kazi alizofanya zinazogusa maisha ya wengi na kumpa Mungu utukufu. Hekima hutambulikana kwa kazi zake na si maneno yake”

 

“Ugumu wa maisha si kipimo cha akili. Kipimo cha akili ni aina, ubora na mchango wa mtu kwa dunia yake. Ugumu wa maisha mara nyingi ni ishara kwamba matumizi ya akili ya mtu kutatua changamoto zake ni madogo”

 

“Watu wanaopitia HALI NGUMU SANA kuliko wenzao ni aidha WANA KESHO KUBWA SANA, MUNGU ANAWAPITISHA KWENYE CHUJIO WABAKI PURE tayari kwa utukufu ulio mbele yao au Waweza kuwa WAJINGA SANA WANAVUNA GHARAMA YA KUTOWEKEZA KATIKA MAARIFA SAHIHI”

 

“Unaweza kuleta mabadiliko lakini ili mabadiliko yakae, lazima uwabadilishe kwanza wataka mabadiliko wawe mabadiliko wayatakayo”

 

“Kuleta mabadiliko ni jambo zuri bali kuwa mabadiliko ni jambo bora zaidi”

“Ukitaka mabadiliko ya haraka, usilete mabadiliko bali kuwa mabadiliko unayoyataka”

 

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: