Toka kwa Ikupa Mercy Kyomo wa D.C.K

 

Tatizo lako laweza kuwa kubwa kuliko wewe lakini kamwe usimlinganishe Mungu na tatizo lako. Mungu ni #Mkubwa #Kuliko matatizo yako.
Kwakua Aliye ndani yako ni #Mkuu #Kuliko yeye aliye katika dunia; na hapa haimaanishi shetani tu, ila hata changamoto za ulimwengu huu. Na kama #Yeye Alivyo ndivyo na sisi tulivyo ulimwenguni humu.
Basi tambua yakua wewe ni mkuu kuliko changamoto za mazingira yako kwa maana Kristo https://scontent.xx.fbcdn.net/v/t1.0-9/14670849_1003145623141855_1240342506000745474_n.jpg?_nc_eui2=v1%3AAeG_JUnaxJA1SaD_SgFPJtH9ooFEYHHA0HxBThOm9hWNhscdhVt_EQgWJIAitmt1utkAz9MLX5Kf2vzpAIHwzFB0z8yyyoF0QFg_u8rlS6DLjQ&oh=6532f3abd962ed4368944f608d358e19&oe=5894B26EAliye ndani yako ni mkuu kuliko mazingira yako, hivyo na wewe ni mkuu. Tena Yesu alisema, “Mimi nimeUshinda ulimwengu” – na jinsi Yesu Alivyo ndivyo na wewe ulivyo; Hivyo basi wewe ni #Mshindi. Umeushinda ulimwengu, Umeyashinda mazingira yako na changamoto zake. #Ndio umeshinda. Anza kujiona kuwa u #Mshindi. Jitambue kama #Mshindi, hii ndio siri ya kushinda; kwa kuanza kujiona kama #Mshindi kabla ya matokeo ya Ushindi kujidhihirisha.

#BadiliMtazamo
1 Yohana 4:4,17
Yohana 16:33

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: