KWA WAOAJI NA WAOLEWAJI

https://i2.wp.com/67.media.tumblr.com/15d1d41ec2150e0de779241f80d99cd6/tumblr_nzozjjdLBM1smk873o1_1280.jpg“Kama huyo dada au kaka uliyenaye umemkuta na ushahidi zaidi ya mara moja kwamba ana mtu au watu wengine zaidi yako; ACHANA NAYE. Hiyo ni tabia yake, hataiacha ndani ya muda mfupi uliobakia wa kuelekea ndoa. Labda akutane na Yesu mzima mzima kama Sauli wa Tarso na ampate Anania atakayemsaidia kujua yampasayo. Kosea kwenye kila unachokosea lakini si ndoa. Matatizo na kasoro zote za mke au mme zinavumilika na kusameheka kirahisi lakini MME AU MKE MZINZI NI KITANZI SHINGONI MWAKO. Kama si mwaminifu sasa, unadhani atajifunza akishakuoa au kuolewa na wewe?? AONYWAYE MARA NYINGI AKISHUPAZA SHINGO ATAVUNJIKA GHAFLA NA WALA HATAPATA DAWA”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: