KWA WAOAJI NA WAOLEWAJI

https://i2.wp.com/madamenoire.com/wp-content/uploads/2013/03/black-couple-arguing-pf2-378x334.jpg“Ukiona moyo wako unasita na amani imepotea kuhusu huyo dada au kaka na umejitahidi kuendelea naye hivyo hivyo lakini bado amani na furaha yako ya mwanzo kwake imepotea; FANYA MAAMUZI, ACHANA NAYE KWA AMANI KABISA. MWITE, MWAMBIE UKWELI NA MUACHANE KWA UPENDO. Usilazimishe wakati TAA NYEKUNDU INAWAKA NDANI YAKO. HUYO NI MUNGU ANAONGEA, Usisubiri uingie kwenye ndoa ambako KIFO TU NDO CHA KUWATENGANISHA…Amani ya Kristo na iamue mioyoni mwenu. Jifunze kuyaheshimu MAAMUZI YA MOYO WAKO, HUKO NDIKO ISSUE ZOTE ZA MAISHA ZINAKOTOKA… Usiupuuze moyo wako na ukajilaumu baadae, MUNGU HUSEMA NA KILA MWENYE MOYO SAFI HATA KAMA HAJUI KUTAFSIRI SAUTI YA MUNGU…”

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: